Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Tuliwahi kupiga mawe nyumba ya mwalimu. Nyang'anyang'a. Viboko vya uhakika tulikula. Nyumbani tukarudishwa, pesa tukalipa na maisha yakaendelea. Kwenye mitanange kama hii kama wewe ni mtoto wa mkulima na ulifuata mkumbo ukarudishwa nyumbani aisee safari yako ya matumaini inaweza kuishia hapa. Bahati yetu sisi tulikuwa na mkuu wa mkoa mshua akaja akatusamehe na akatuomba tusirudie tena. Ingekuwa kama huyu sijui ingekuwaje....
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…