carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji1548][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Vile Tunaenda chukua Mke wetu tena
Mdogo wangu anza kufunga funga mabegi.
Zimebaki dakika 45 tukuhamishie kwenye makazi yako mapya kwa kijana mpole[emoji23][emoji23]
Kwema?Mpenzi Wangu ambaye nimeumbiwa mimi peke yangu
Mapigo yako ya moyo yakoje kwa sasa shemeji? Unafungua mageti na milango hovyo hovyo kama nilivyotabiri?Baada ya dakika chache zijazo nitatoa tamko[emoji124][emoji124][emoji124]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Ndoa ya mkeka inanukia
Kama vile ninakuona unavyotabasamu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Umesemaaa
Kama sijasikia vile[emoji23][emoji23]
Ngoja tumchukue mwali kwanza.
Mtafute carbamazepine umpeleke saluni[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Hii ni kwa ajili ya wote wapenda mema na mazuri tuzidi kuomba vijana wapate goli la pili ile cheko lake na sherehe vizidi show za Michael Jackson [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Carbaaaaaaa nini hikii🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️🙆♀️......Ndoa inakukwepa😂Hivi liver hawajui kama nime bet moyo eeh[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Daah Mkatalunya tupo kamati ya ufundi tunaweka sawa mambo Jf call nyingi sana kumuweka sawa mtoto Mzuri [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Aiyaaa iyaaa iyaaaa kuolewa tutarudi nyumbani kutembeaaaa
Kwaheri depal,th kuonana majaliwaaaa[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Bana bana mpira uishe tu
Nimejitolea kugharamia gharama zote za harusi.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hebu mniwache kwanza
#moyowanguunadundiamagotini
Tunapoteza mwaliWakitoka sare inakuwaje?
Hawa MU hawa nao dah !!!