mlevi: naitwa ugali sembeee mjukuu wa bamiaaaa
mtangazaji: tafadhali elezea shida yakooo
mlevi: naomba kitufe cha like kiondolewe jamii farumuuu kwa sababu kinamdhalilisha muheshimiwaaa.
mtangazaji: huoni kama itakuwa ni kero kwa wadau wa likes?
mlevi: hata kama itakuwa ni kero lakini ni lazima sote tuunge mguu juhudi za muheshimiwa mazikooooo.