Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Salama bro? Uzima upo pande hizo?Kwema sana Bro juzi back line ilifanya makosa makubwa sana vipi lakini upande huo
Mzima shemeji?
Kila la kheri#kunaMtuNitampangaNibetiNayeMoyo
#subiriaTuu
#mamboMazuriHayatakiHaraka
Kwema bro, huku salama kabsa,,, kwema hapo?Niambie bro, kwema hapo?
Hehee!!Salama bro? Uzima upo pande hizo?
Nakuona mzee kama hautaki vile,mpira unauchezea unavyotaka[emoji2][emoji2]
Haha kabsa carbaEwaaaa ndo inavyotakiwa
#mwanaumekupambana[emoji123][emoji123]
Salama aisee, kabaridi tuu.Kwema bro, huku salama kabsa,,, kwema hapo?
Namwonea huruma bwana mitumbwi.[emoji7][emoji7][emoji7]thats my cole
Hahaha kwamba hata kureply unamsaidia[emoji1][emoji1]Hehee!!
Poleni bro,,huku pia baridiSalama aisee, kabaridi tuu.
Naona masharti yanaongezeka tuu.
Mpendwa Hawachi unaona jamaa anafidia hela za tuition😀😀.hii n kwamabaharia2View attachment 1242302
HeheheWalioenda Kings Music walikosea sana
Madogo ambao wapo chini ya Kings Music ya Ali Kiba walikosea sana kwenda huko coz Kiba hajui kuongoza vizuri na pia hajui kuwapa promotion at the right time. Angalia sasa wamekalishwa benchi muda mrefu bila kutoa ngoma wakati ndio kwanza ni wasanii underground. Kama Kiba ameishiwa mashairi ya...www.jamiiforums.com
Numbisa nakuona
Nami nitafanya hivyo kwenye harusi ya ex wangu napiga sahani 20 kwa hasira 😀
hyo unaifanya kwa hasira zote