Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Mwenye picha ya huyu kaka akiwa anacheka. Kim ana kazi kumfurahisha Mwanaume Kama huyu mda wote kakunja sura.
Mwenye picha ya huyu kaka akiwa anacheka. Kim ana kazi kumfurahisha Mwanaume Kama huyu mda wote kakunja sura.
AmenUbarikiwe mpendwa.
JamaniMambo yako siriazi kihivyo? I thought it was a joke....
Ngoja nijikite tu kivyangu vyangu sasa....
Misambwanda here I come....na anayekwazika can kiss my ass or refrain from liking my posts....Jizazi [emoji16][emoji16][emoji16][emoji2099][emoji2099][emoji2099]