Mkuu, it seems naweza kuibukia mwz soon after darKwa kawaida Wasukuma ni warembo sana. Tena Sammyluv mweupe. Andaa ng'ombe wasiopungua 40.
Haya sasa. Njoo ujitambulishe home tuanze mchakato!
pamoja mkuuNi utani tu mkuu. Carpa anaelewa!
[emoji23] [emoji23] [emoji125] [emoji125] [emoji125] [emoji125]Nadhani pia umo kwenye rada zake. Nshaziona dalili. Kimya kimya tu ukija kushtuka yupo kifuani [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23].
Mkuu utakuwa umejali?umeamua kuwatenga watu na mimi..