pamoja mkuu..Mkuu utakuwa umejali?
Aisee. Niko nje ya Bongo kwa sasa for at least 2 months. Ningekukaribisha Koromije uone nyumba aliyokulia Bashite na ile ya babake yule mfufua wafu mzee wa kuliamsha dude. Baada ya hapo ningekupeleka kwa wazazi wa Sammyluv ukajitambulishe...Mkuu, it seems naweza kuibukia mwz soon after dar
Twende kazipamoja mkuu..
qweghigiguufufyfd Ukhuty !Thanks
Hazifai zinafaa kwa watoto?Bakora
Thanks