Kisu Cha Ngariba
JF-Expert Member
- Jun 21, 2016
- 22,130
- 48,862
likesThanks
Kichwa jamani mali zako zagawiwa huku na shemeji ako[emoji23] [emoji23]Aisee. Niko nje ya Bongo kwa sasa for at least 2 months. Ningekukaribisha Koromije uone nyumba aliyokulia Bashite na ile ya babake yule mfufua wafu mzee wa kuliamsha dude. Baada ya hapo ningekupeleka kwa wazazi wa Sammyluv ukajitambulishe...
Nani!??[emoji41]Anakula chapati na chai asubui.
Nani!??[emoji41]