Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

We maneno tu bana hakuna lolote. Mwaka wa pili huu nalilia kufunguliwa PM japo Nikusalimie tu lakini hakuna kitu. Nshakuzoea [emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3][emoji3] yaani huniamini kiasi hiki? Halafu ujue mimi sijawahi kufunga PM ila wewe nilijaribu siku moja nikakuta kufuli
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…