moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
huyu atakua kuna masharti anatimiza, maana hata kama ni mambo ya Utamaduni, Muafrika hana utamaduni wa kutembea peku vipo viatu ambavyo vilitengenezwa na mababu kabla hata ya mkoloniHuyu jamaa kwa nini huwa havai viatu? Ni masharti ya mganga ama? [emoji16][emoji16]
Hahah! Tena Die harder FanKuna kipindi nilikua najiuliza hivi mashabiki wa kanye ni wa aina gani
Kumbe wapo akina king bana
Hahah! Nikionaga neno The haraka sana narukia neno linalofata kama ni Happy...[emoji23][emoji23][emoji23] yaani unajua kuunganisha matukio
Maigizo. Wangekuwa kweli wanazipiga tayaru manyonyo yangekuwa nje hapo [emoji2099][emoji2099][emoji2099]
Huyu jamaa kwa nini huwa havai viatu? Ni masharti ya mganga ama? [emoji16][emoji16]
Usiku wa fenesi...
Safi King....take care of my young Sis ukimzingua nipo na wewe [emoji3][emoji3]Hahah! Nikionaga neno The haraka sana narukia neno linalofata kama ni Happy...
Mambo vipi lakini?
😂😂Usiku wa papa