myoyambendi
JF-Expert Member
- Sep 13, 2013
- 174,811
- 721,144
Unanikumbusha malkia wetu
Hujasema Ni wapiKwangu unakarubishwa mda wowote.
Ondoa shaka kabisa.
Nipo huku kaskazi huku, Arusha.Hujasema Ni wapi
Ooh sawa...utakuwa mwenyeji wangu siku nikija hukoNipo huku kaskazi huku, Arusha.
Hamna shida.Ooh sawa...utakuwa mwenyeji wangu siku nikija huko
Mwaka hauishi huu, hata ukiisha utaisha kwa mbinde sana!!!!π€£π€£π€£π€£Nakunyatia kimnya kimya nione mingo zako
Aulizwe Mzee wa Liver...Hivi yuko wapi?