Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Naombea mfungwe leo. Majuzi hapa mlikaliwa kooni na Aseno mkapigwa tano sema tu Aseno walichoka mkasawazisha na mkapata bahati kwenye matuta.

Mnafungika kabisa nyinyi basi tu....
Nimeshika wingu tangu asubuhi.
Baada ya mechi nitarudi hapa nikucheke vizuri kwa maombi yako uchwara[emoji23][emoji23]..nitahakikisha nakutoa chozi.
 
Nimeshika wingu tangu asubuhi.
Baada ya mechi nitarudi hapa nikucheke vizuri kwa maombi yako uchwara[emoji23][emoji23]..nitahakikisha nakutoa chozi.
Mnacheza saa ngapi? Nitafuatilia hii mechi. Mkishinda nazima data napotea kwa muda mpaka hali ya hewa itulie. Mkifungwa sasa uwiii sijui utanibebea mbeleko gani [emoji16][emoji16]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…