Shimba ya Buyenze
JF-Expert Member
- Dec 22, 2014
- 183,580
- 1,105,911
Mechi saa ngapi?Nitakutafuta Leo kwa njia zote Maana najua tushashinda[emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu maadui wa liver wengiMnaweza kushinda na njaa pia [emoji23]
Kumi na mbili kamiliMechi saa ngapi?
Bro [emoji16][emoji16][emoji16][emoji109][emoji109][emoji109]Piga chini avimbe juu iliajue dudu baya
Wamezidi kujimwambafai. Hawafai !!![emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] humu maadui wa liver wengi
Sitaki kuamini Kama unashabikia man u![emoji134][emoji1787][emoji1787]Jamani usitufanyie hivyo Aisee
[emoji1787][emoji1787][emoji1787]Mnaweza kushinda na njaa pia [emoji23]
JioniMechi saa ngapi?
Sitaki kuamini Kama unashabikia man u![emoji134][emoji1787][emoji1787]
😂😂😂😂Barcelona na Manchester United hii Manchester mwakani hivi naweza nikaipiga chini
Hakuna timu Hapo.Barcelona na Manchester United hii Manchester mwakani hivi naweza nikaipiga chini
Hakuna timu Hapo.
Timu ni Liverpool tu[emoji91][emoji91]