Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Kwanza nieleleze app nzuri ya kuangalia mpira..na unipe ratiba za Liverpool tu.. unifundishe na kanuni za mpira, Na namba zao.
Nilikuwa kule thread ya Liverpool nikawa naona nyota tu[emoji23][emoji23]
Hata mpira kumbe huujui. Makelele tu na kutesa vitinda mimba wenzio. Unaudhi mpaka basi. Siku mkifungwa usije ukazima data. Laivu Mwakaleli nitakuja ili nikucheke laivu
 
Hata mpira kumbe huujui. Makelele tu na kutesa vitinda mimba wenzio. Unaudhi mpaka basi. Siku mkifungwa usije ukazima data. Laivu Mwakaleli nitakuja ili nikucheke laivu
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nitalia na kusaga meno.
Ila mwaka huu hatufungwi,labda mwakani huko.
Wacha nijimwambafai jamani[emoji1787]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…