Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
ππππππnimeamka saa hizi nikajua makelele ya livapul yamepungua
SafiiMageuzi ya kilimo kutokana na sera ya kilimo kwanzaView attachment 1252393
Likes2:25 a.m
Alfajiri njema
Na kwako piaaJumapili iwe njema kwetu wooote
Sawaπππ wewe unakesha!Rudi ulale
Huogopi muda huu umacho?Na kwako piaa
Me Niko nafanya usafi humuSawaπππ wewe unakesha!
We unaogopa? Kama waogopa rudi upesi ukalale.Huogopi muda huu umacho?
Sawa...ngoja nilale kidogo..Me Niko nafanya usafi humu
Usingizi mwemaSawa...ngoja nilale kidogo..
Manchester United ni watembea popote. Wametoka namba 15 wakaenda 7 leo tena wamerudi namba 10.Msimamo huu hapa View attachment 1252442
Yapungue? Wamerogwa?nimeamka saa hizi nikajua makelele ya livapul yamepungua