Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nimeelewaaa Davet
Hili lazima alijue, wanalitumia sana hawaπππππππ eti na hapa binti mpole atashindwa kuelewa
hahahahahahah, yupo humu laikini au kule duniani?kuna member mpya amekuibia avatar yako
aliwahi kuja humu ndani then akaandikahahahahahahah, yupo humu laikini au kule duniani?
Hahahaha kabisa inatuchelewesha hio kampen, kula tu kazi sembuse maji lita kama zoteehii kampeni huwafaa zaidi wafanya mazoezi, sisi wa kula na kuangalia drama inatupotezea muda wetu wa kuconcetrate na wakorea.
dakika 5 trrrrrrrr choooni.
nikiwa na mzuka na wakorea huweka computer yangu na sahani pamoja.Hahahaha kabisa inatuchelewesha hio kampen, kula tu kazi sembuse maji lita kama zotee
Hahahahhaaa upo vizurinikiwa na mzuka na wakorea huweka computer yangu na sahani pamoja.
ndege wawili kwa jiwe moja
teh teh teh.
aliwahi kuja humu ndani then akaandika
jamani nampenda wema sepetu kimapenzi basi nikafiri bradha amepatwa
Mimi magari makubwa makubwa hapana bro.aliwahi kuja humu ndani then akaandika
jamani nampenda wema sepetu basi nikafiri bradha amepatwa
wale wavimba macho nisipowaacha huenda watakuja kuniletea ugomvi na mama watoto siku nitakayoamua kuingia kwenye ulimwengu wa ndoa.Hahahahhaaa upo vizuri
Karbu sana Bro,πππππ Thanks bro.I appreciate itπ
bahati nzuri nimemuona ndugu yakooooMimi magari makubwa makubwa hapana bro.
#HapanaLongVehicle
#HapanaWideLoad
πππππππViva Christmas