Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Nov 5, 2019 #1,055,601 Siku hazigandi
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Nov 5, 2019 #1,055,602 One Dance ~ Driz ft Wiz
Davet JF-Expert Member Joined Apr 5, 2013 Posts 42,474 Reaction score 206,022 Nov 5, 2019 #1,055,603 Come closer ~ Wiz ft Driz
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,604 Katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya amecheza mechi tatu. Mchezaji huyo amecheza mechi 14, amefunga mabao manne na kutoa pasi za mwisho mara saba.
Katika mechi za Ligi ya Mabingwa Ulaya amecheza mechi tatu. Mchezaji huyo amecheza mechi 14, amefunga mabao manne na kutoa pasi za mwisho mara saba.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,605 MAJANI YA MPERA NA FAIDA ZAKE MWILINI. 1. Chai ya majani ya mpera inaponyesha kifua na kikohozi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,606 2. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu muwasho uliotokana na mzio (allergy).
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,607 3. Pia majani haya ya mpera yakichemshwa kama chai yanaondoa cholesterol iliyozidi mwilini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,608 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,609 4. Chai ya majani ya mpera inapunguza kiwango cha tatizo la sukari mwilini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,610 5. Chai ya mpera ni dawa nzuri kwa wenye matatizo ya nguvu za kiume.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,611 6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
6. Pia inatumika kama scrub ya uso. Chukua majani ya mpera saga kisha tia maji kiasi na inasaidia kuondoa uchafu usoni.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,612 7. Pia majani ya mpera yakichemshwa ni dawa ya kuponyesha tumbo la kuhara.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,613 8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria.
8. Kama umejikata kidogo unaweza kutumia majani ya mpera yalioshwa na kusagwa vizuri kwa kupunguza maumivu na kukulinda na maambukizi ya bakteria.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,614 9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu.
9. Majani ya mpera yaliyosagwa vizuri yanatumika kutibu eneo la mwili lililong'atwa na mdudu na kupunguza maumivu.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,615 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,616 10. Chai ya majani ya mpera inaaminika kuwa ina uwezo wa kutibu tezi dume.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,617 11. Kutokana na kuwa na vitamini C kwa wingi majani ya mpera yana uwezo mkubwa wa kutibu chunusi.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,618 12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya mwilini.
12. Chai ya majani ya mpera inasaidia kupunguza uzito mwilini na kuzuia uharibifu sukari ndani ya mwilini.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,619 14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi, maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera na utaona maajabu ya majani haya.
14. Ukiwa na tatizo la vidonda kwenye ufizi, maumivu ya jino na ufizi tafuna majani ya mpera na utaona maajabu ya majani haya.
Numbisa JF-Expert Member Joined Dec 12, 2016 Posts 348,970 Reaction score 1,252,247 Nov 5, 2019 #1,055,620 13. Majani ya mpera yanajaza nywele na kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya nywele zako.
13. Majani ya mpera yanajaza nywele na kurefusha nywele kwa watu wenye tatizo la kukatika kwa nywele, unasaga na kuchemsha kisha acha yapoe ndio upake kichwani kutoka chini ya ngozi ya kichwa hadi kwenye ncha ya nywele zako.