Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
Wana kelele haooo oooh rekodi rekodi pheeewwww
Kwani anayeongoza kundi ni nani?Mashabiki wa barca leo kimyaaa hadi raha
Ahsante kwa taarifa bro.πππView attachment 1255349
πππView attachment 1255349
Kwani anayeongoza kundi ni nani?
Naona mnavyojipa matumaini. Soon mtatolewa tuAhsante kwa taarifa bro.
Yote yanawezekana kwakweli, matokeo ya jana sio mabaya lakini pia sio mazuri hili kundi litakua gumu mechi za mwishoNaona mnavyojipa matumaini. Soon mtatolewa tu
πππππ dah!
Wiki hii cole atakosa cha kuposti awesomeYote yanawezekana kwakweli, matokeo ya jana sio mabaya lakini pia sio mazuri hili kundi litakua gumu mechi za mwisho
Heheheh!Wiki hii cole atakosa cha kuposti awesome
Naombea cr7 leo afanye kazi yake ntaringaje
Kama nakuona vile utakavyofatilia mechi ya juve mwanzo mwishoHeheheh!