Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
mwenye matokeo ya barcelona naomba atuwekeee, saa yangu imepoteza majira
Na mimi kama nakuona unavyofatilia kiganja cha Mkorea 😀😀Kama nakuona vile utakavyofatilia mechi ya juve mwanzo mwisho
Halafu lawama zote wanabebeshwa dembele na griezmwenye matokeo ya barcelona naomba atuwekeee, saa yangu imepoteza majira
ndevu nyingi kama steelwire za kuoshea masufuria yaliopikiwa ugali hakuwemo?
nimeomba matokeo ya barcelona cha ajabu unaulizia kiganja cha watu.Na mimi kama nakuona unavyofatilia kiganja cha Mkorea 😀😀
Alikuwepo vizuri tu. Ukimbana mandevu umeibana barca nzimandevu nyingi kama steelwire za kuoshea masufuria yaliopikiwa ugali hakuwemo?
Hahahahaahah nilikua nasubiria jibu lake,naona keshajibu vizuri tuNa mimi kama nakuona unavyofatilia kiganja cha Mkorea 😀😀
wanamuogopa messi kuliko magufuli na watumishi wake, hata kama messi akijamba mbele za watu wanasingiziwa dembele na suarez.Halafu lawama zote wanabebeshwa dembele na griez
Hahahaha kweli kabisa. Na kocha anachelewa kutimuliwa kisa ana backup ya messiwanamuogopa messi kuliko magufuli na watumishi wake, hata kama messi akijamba mbele za watu wanasingiziwa dembele na suarez.
labda kiganja kimeota matitiHahahahaahah nilikua nasubiria jibu lake,naona keshajibu vizuri tu
Jamaniiiilabda kiganja kimeota matiti