D A E M U S H I N
JF-Expert Member
- Dec 15, 2015
- 22,665
- 121,102
messi anajua fika akija mwalimu mwengine ataozea benchi.Hahahaha kweli kabisa. Na kocha anachelewa kutimuliwa kisa ana backup ya messi
Kama nawaona wanazi wanavyotaman kukurukia makonde ya nguvu. Hamna bana bado hajachoka ila tu anaogopa ushindani zaidi.messi anajua fika akija mwalimu mwengine ataozea benchi.
jamaa amechoka sana amebaki ndevu tu kama nabii wa kiarabu.
jamaa kumbe anataka asifiwe yeye tu maisha yote.Kama nawaona wanazi wanavyotaman kukurukia makonde ya nguvu. Hamna bana bado hajachoka ila tu anaogopa ushindani zaidi.
Au unaonaje[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] dah!
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] aiseeejamaa kumbe anataka asifiwe yeye tu maisha yote.
sifa za kijinga zimemjaa kichwani.
Nimeisave kwanza, kwa maana nna uhakika hii nywele ni YakoWatu na nywele zao
carbamazepine Hawachi Depal The Happiness Saint anne watu na nywele zao. Nikifikisha hata nusu yake itakua cherekoView attachment 1255379
Picha kwa hisan ya insta
NdioooooooooKocha wa Chelsea Frank Lampard alisema ilikuwa mechi ya kufurahisha na mashabiki waliondoka uwanjani wakiwa na furaha.
nasikia baada ya kufungwa magoli manne ulikuwa unatetemeka kama mtoto wa kuku aliyechezea mvua.Ndiooooooooo
Babu weee kutangulia sio kufikanasikia baada ya kufungwa magoli manne ulikuwa unatetemeka kama mtoto wa kuku aliyechezea mvua.
Halafu ni natural dahWatu na nywele zao
carbamazepine Hawachi Depal The Happiness Saint anne watu na nywele zao. Nikifikisha hata nusu yake itakua cherekoView attachment 1255379
Picha kwa hisan ya insta
Hehehehe ya insta hio kuna page inatumia kama tangazo la mafuta ya nyweleNimeisave kwanza, kwa maana nna uhakika hii nywele ni Yako
itakuwa hizo nywele anazikoshea kwa maji ya chooni ndio maana zikawa ndefuHalafu ni natural dah
Nimetaman. Kuna watu wamebarikiwa nyweleHalafu ni natural dah
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] jamaniiiitakuwa hizo nywele anazikoshea kwa maji ya chooni ndio maana zikawa ndefu