Depal
JF-Expert Member
- Nov 26, 2018
- 51,954
- 210,287
Alivyotaja Valentine kaniaminishia kwamba aliona.[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] oooh sema tu mnataka nirushe hapa. Shahidi mkorea wa zenji kaona hadi anaulizia valentine[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
😂😂😂😂 na iwe hivyotufunge mjadala kwa pande zote mbili.
bradha na davet wamenuna muda huu kwa sababu bahati imemuangukia mzembeee anayewaza urojo muda wote
Asiyekuwepo na lake halipoOhooh! Kumbe ni kweli? Embu basi fanya hivyo wewe nae 😀
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] eti unaogopaAlivyotaja Valentine kaniaminishia kwamba aliona.
#JamaniNaogopaaa 🙈🙈
😂😂😂😂tufunge mjadala kwa pande zote mbili.
bradha na davet wamenuna muda huu kwa sababu bahati imemuangukia mzembeee anayewaza urojo muda wote
AiseeWatu na nywele zao
carbamazepine Hawachi Depal The Happiness Saint anne watu na nywele zao. Nikifikisha hata nusu yake itakua cherekoView attachment 1255379
Picha kwa hisan ya insta
AiseeView attachment 1255394
Naona Bi maza anamuombea mwanae Tuzo [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Nimeipenda hii, nitaiibaAt times, we condemn good people because we disagree with them over a few issues. We refuse to see the good they’re doing. Disagreements do not automatically make a person extreme, bad or evil. Learn to distinguish between the one who respectfully disagrees & the one who is evil!
KumbeSiwafundishi Tech lakini Ukiwa na VLC unaweza
1. Kutengeneza effects za sauti
2. Ku convert formats za video
3. Kufanya video kuwa wallpaper ya desktop
4. Kuchukua screenshot ya video
5. Kusikiliza online Radio
Usiibe just chukua umeruhusiwa,Nimeipenda hii, nitaiiba