Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilikufanya nini?maana nataka kuijaribu nayo
Best nywele zilikuwa ngumu kiasi kuchana ilibidi nitie maji na mafuta ya nazi kwa pamoja, unywele ulikuwa unakatika mbaya nilipomaliz kuchana ajabu kama nimekata faki pembeni na kisogoni zote zilitoka zikabaki kati tu nililia siku hiyo nilikimbilia saluni kunyoa zote😁😁😁😁
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile,pole

Mimi sasahivi nimeamua kukiacha kipilipili changu kiyulie sihangaiki.
Nywele gani hazina hata shukrani
Hii ya maji ya mchele inipite hivi[emoji117][emoji117][emoji117]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…