Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]nacheka kama mazuri vile,pole

Mimi sasahivi nimeamua kukiacha kipilipili changu kiyulie sihangaiki.
Nywele gani hazina hata shukrani
Hii ya maji ya mchele inipite hivi[emoji117][emoji117][emoji117]
Sasa hivi sijishuhulishi na nywele natumia mafuta ya nazi.
 
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]hee vitunguu ile harufu yake uwiii una moyo

Ya Movit ushaitumia?
Hiki kipilipili kinanihangaisha acha tu.
Nilikuwa nayo ya vitunguu thomu,nikaachana nayo

Kuna mtu kanambia steaming ya asali,hapa bado niko kwenye kikao cha maamuzi.

Ya movit sijaijaribu bado
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…