Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Misingi hii ndio itakuwa mapenzi yako yatakayokupelekea wewe kuwa na hekima kwa sababu itakuwa inatatua tatizo la kuwa mtu asie na mafanikio, hivyo hii ni njia itakayokufikisha katika kilele cha mafanikio yale unayoyataka.
 
Kwahiyo Blue magic sio cha maana? Kuna mtu nae anayatumiaga hayo yuko fresh kichwani.
Wengine sisi kusuka kulitushinda, ubongo unauma [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]basi nisamehe Dada......ila mara nyingi nasuka sana nywele za mkono[emoji85], za uzii...! Kila nikifumua naoshaa nakausha na hand dryer..!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…