cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Hongeza juhudi za kulike sasaWOW!!! Nimejishindia LIKES bila kikomo MESEJI ZA LIKES bila kikomo na MB ZA LIKES BILA KIKOMO MWAKA MZIMA
Hiki kiswahiliMataya hayangalikuwa ndugu zako, hangalikupondea chikichi.
Aya tulisongeshe sasaLo sibnduki hadi zifike 1000
Upo best?Wahi unachelewa
Mmh! labda bibiMam'ako ni mungu wa pili.
MFICHA UCHI HAZAIMcha mke ndugu hazai.
Mi mpaka nazitamaniHahahaa natumiwa nyingi tu