The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Dada mi sijui kuchora, ila ningeweza ningekuchorea kwa weledi kabisa π π πHaya ni mateso bila chuki[emoji24][emoji24][emoji24]
Mbona unanitesa??
Kitumbua kimeingia mchanga ila nakuomba tu leo usiage mapema naimani tutapata wasaa wa kufanya yetu hapa [emoji3][emoji3]
Fasta sasa ohooh! Muda umeruhusuIshieni bhana nim'bariki KD
Mpaka anitumie picha aliyofuta[emoji23]Dada mi sijui kuchora, ila ningeweza ningekuchorea kwa weledi kabisa [emoji23] [emoji23] [emoji23]
hivi si umkubali tu kaka wa watu mpole vile[emoji2088][emoji2088][emoji2088]
Babeee, ukishamaliza kufanya yako pitilza PeraMiho [emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]Ohoooh! [emoji23][emoji23]
Niahidi utakaa adi mida yetu ili niagize Kahawa sasa hivi[emoji23][emoji23][emoji125][emoji125][emoji125][emoji125]
Naona leo ni mwendo wa kuweka na kufuta[emoji23][emoji23]The Happiness mbona umefuta? [emoji3][emoji3]