moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Kweli huwa zinasumbua sometimes,nimekwenda torrent kila ninayoipakua inazingua
dah!Kweli huwa zinasumbua sometimes,
Imefanya nini hadi ukaamua kubadili OS?
Mh!!Naomba kujua mnaotumia app incase mods wakaamua kunisaliti[emoji23][emoji23]
Halafu leo nilikua na baiskeli kwenye mizunguko kwahiyo simu kwa nadra sanaπππππ kwani leo ulipotelea wapi bro?