capitalpool
JF-Expert Member
- Sep 18, 2017
- 22,369
- 121,270
Ohdah!
sijabadili OS ila kuna keys fulani nilikuwa nazijaribu.
pumbavu zangu baadae nikawa naletewa ujumbe window is not activated haliyakuwa mwanzoni ilikuwa ni genuine.
Mbona sinayo bro!Bradha tunaomba Windows 10 Activator,
Anaitaka Daemusin Bro,Mbona sinayo bro!
Labda niisake, ukiipata kabla niambie.
Haukuicrack awali?Inawezekana ilikua cracked halafu ukaupdate windows ...dah!
sijabadili OS ila kuna keys fulani nilikuwa nazijaribu.
pumbavu zangu baadae nikawa naletewa ujumbe window is not activated haliyakuwa mwanzoni ilikuwa ni genuine.
Kesho ni mimi na mwendokasi, mwendokasi na mimi.Hahah! Ila wameahidi tena kesho wataendelea walipoishia
Yeah, nimeona.Anaitaka Daemusin Bro,
haikuwa cracked.Haukuicrack awali?Inawezekana ilikua cracked halafu ukaupdate windows ...
Poa bro.haikuwa cracked.
kuna tutorials nazifuatilia youtube huenda zikanipa muangaza.
Hadi nikuone kwanzaπππUpepo wa kutupia picha mtani.
Fanya kutubariki hata na kiganja basi[emoji16][emoji16]
Hebu nibeep kwanza3π[emoji23][emoji23][emoji23]
Njoo piemu na picha yako unapata picha ya katibu na nyongeza ya ile ya guu la bia
Good night to you.Good night everyone
π π π π