Davet
JF-Expert Member
- Apr 5, 2013
- 42,474
- 206,022
πππ huu ni uongoGood night fam!π
Kabisa kabisa Carb[emoji23][emoji23][emoji23]
#maishandohayahaya
Mex amefanya la maana sana kutuwekea button ya Delete tunaunguzana bila huruma, watakao vumilia mpaka mwisho ndiyo watakao ona
#kilasikuhumutunafanyakweli
#mixerkitufechadelete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
ππππππMex amefanya la maana sana kutuwekea button ya Delete tunaunguzana bila huruma, watakao vumilia mpaka mwisho ndiyo watakao ona
#kilasikuhumutunafanyakweli
#mixerkitufechadelete[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Huji kwa kikao kwani?Good night fam![emoji20]
πππ alafu?Mpe talaka[emoji125][emoji125][emoji125]
Dah, kuna makatili duniani hapa! Kisa simu [emoji2296]Kuna mambo yanasikitisha sana
Haha we muache tuMpe talaka[emoji125][emoji125][emoji125]
Acha uchoyo babe,mambo mazuri tushirikishane[emoji23]Nimekufanyaje tena babe?
[emoji3][emoji3]
Ubaki mpweke na picha zako[emoji23][emoji23][emoji23] alafu?
Hahah! Kweli ushirikiano muhimu babe usijaliAcha uchoyo babe,mambo mazuri tushirikishane[emoji23]
πππππππππ jamaniUbaki mpweke na picha zako
[emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji2088][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Watu 3 wakazi wa Kijiji cha Busekera Wilayani Musoma, Mara wamefariki Dunia katika tukio linalohusisha wivu wa kimapenzi ambapo Kijana aliyefahamika kwa jina moja la Omari anadaiwa kumuua mpenzi wake Paulina Paul kwa kumchoma kisu tumboni mara mbili akidai arejeshewe simu yake ambayo alimpa wakati mahusiano yao yakiwa mazuri.
_
Paulina alikataa kutoa simu na wakaamua kwenda kwa sheikh awasuluhishe, wakiwa kwa sheikh mzozo uliibuka na Omari akachomoa kisu Sheikh akatimua mbio na kuwaacha ndipo Omari akamshambulia Mpenzi wake huyo wa zamani tumboni hadi akafariki.
_
Baadae alijitokeza Mwanamke mwingne kuzuia Omari asifanye mauaji lakini Omari akamkata na panga kisha kumchinja, baada ya kuwaua wawili hao na yeye akajichoma kisu tumboni.
_
Kamanda wa Polisi Mkoa wa Mara Daniel Shillah amesema Omari alifia Zahanati na kwakuwa wote wamefariki kesi imefikia tamati hapo hapo.
Walinitenda sana hawa[emoji23]Wamefanyaje hivi?
[emoji23][emoji23][emoji23] alafu?
ππππππNikuchukue mimi[emoji125][emoji125][emoji125]
Kaoneee, unaleta mambo ya mods hapa hapa [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Nikuchukue mimi[emoji125][emoji125][emoji125]