Nigendako
JF-Expert Member
- Dec 1, 2017
- 23,296
- 122,446
Inapendeza bro,kikubwa uzima tu,, hali ya hewa huku ni mawingu na baridi kwa mbaliShwari aisee, tunasukuma vimajukumu vya wkend kidogo.Kuna upepo unavuma humu inabidi uangalie utengeneze wind vane yako.
Wewe inawezekana tupo sehemu moja.Inapendeza bro,kikubwa uzima tu,, hali ya hewa huku ni mawingu na baridi kwa mbali
Bro, wkend ni vp?