Kgothalo
JF-Expert Member
- Jan 6, 2015
- 8,491
- 46,839
Umeamua kutuharibia sio?
Aisee, darasa la tano ni mdogo sana.Polisi Mkoani Mjini Magharibi Zanzibar wamejitosa katika sakata la Binti wa Darasa la 5 aliyepewa ujauzito na kujifungua kwa njia ya upasuaji wakiapa kumsaka na kumtia mbaroni Kijana anayetuhumiwa kumpa mimba Binti huyo.
_
Mwalimu Mkuu wa Shule ya Msingi Mbuzini Bikiembe Mbarouk amesema waliwahi kushtushwa na utoro wa Mwanafunzi huyo ambaye hakuhudhuria shuleni kwa zaidi ya Mwezi na nusu na siku alipofika akadai alikuwa anaumwa.
_
Mwalimu amesema walimuomba Binti aende nyumbani na arudi na Wazazi ili wakatoe maelezo lakini Wazazi walipofika wakadai Mtoto huyo kila siku alikuwa akitoka nyumbani na kuaga anakwenda shuleni, baada ya tukio hilo waliamua kwenda kumpima na wakamkuta na ujauzito ambao baadae ulipelekea kujifungua kwa upasuaji.
[emoji3][emoji3] kabisaAisee.
#kweliMjiniShule[emoji3]
Salama Bradha,Umeamua kutuharibia sio?
Nakusalimia dada.
Naungana na wewe kusubiri hayo maLikesNasubir likes
Salama salimini, natumai unaifurahia wkend yako hapo.Salama Bradha,
Vipi mambo yako?
π π π π π π π π π π π π π π ππππ leo ushindi muhimu bro afe kipa
#Hukubaridiyamepotea
ππππππππππππππππππ π π π π π π π π π π π π π π
Hufai wewe.
#yamekupwaπππππππ
Halafu walizaliwa pamoja lkn mmoja kama hakui kama mwenzie.πππππππππππππππππ
#Mliopokwenyejototunawategemea
Matukio yote ya jana usiku yalifutwaππππDoria lilikuwaje eti?[emoji16][emoji16]