Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Taarifa zenu tunazo bro.Bila kupepesa macho; Man City shwaini zenu. Kuchekwa na hawa akina Saint anne kutaisha lini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1259940
Wapi SHIMBA YA BUYENZE
Tumekuwa taifa lisilofuata sheria na kanuni. Hovyo tu !!!
Tumekuwa taifa lisilofuata sheria na kanuni. Hovyo tu !!!
View attachment 1260065
Asante shemeji. Heshima ikurudie wewe sabini mara sabini. Nywila napewa, nanyang'anywa, napewa nanyang'anywa ali mradi shida tupu [emoji16][emoji16]The don heshima yako
Wamekupa nywila??
Hujambo sis? Asante kwa kunikumbuka. Natumaini uko salama pamoja na wapendwa wako [emoji1545][emoji1545]
Asante kwa salamu mpendwa Hawachi [emoji1545][emoji1545]SHIMBA YA BUYENZE nakusalimia mpendwa
Na hamshindi kombe
Bila kupepesa macho; Man City shwaini zenu. Kuchekwa na hawa akina Saint anne kutaisha lini? [emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099][emoji2099]
View attachment 1259940
Nawasalimia wadau.
Wazee wa kubebwa mmelala
Mbeleko fc