Bradha
JF-Expert Member
- Dec 18, 2017
- 8,784
- 45,268
Yupi, sinilikwambia hamna?Natamani kumjua bae wako
Hivi Numbisa yuko wapi miss you sana. Free NumbisaπYupi, sinilikwambia hamna?
ππππππHivi Numbisa yuko wapi miss you sana. Free Numbisaπ
Tatizo mhenga mwenzangu umezidi upole huoni kina Davet mpole ila sio kwenye mambo hayo ππππππππ
Kwanini unaniuliza mimi na unajua nilipigwa mbavuni.
Yupo mapumzikoni Kenya Talk kamsalimieππ
Hata sijui nifanyeje sasa.Tatizo mhenga mwenzangu umezidi upole huoni kina Davet mpole ila sio kwenye mambo hayo ππ
Viatu vya Kambarage[emoji109]View attachment 1261536
Jaribu hii ikibuma inabidi ukajiloweke kwenye maji ya bahari badili avatar weka picha ya kushawishiππHata sijui nifanyeje sasa.
Kila mbinu inabuma.
Mpendwa miss youViatu vya Kambarage
Shujaa wa Butiama
Vimekosa mvaaji
Vitakayemwenea sawasawa?
View attachment 1261642
Nipo. Natumaini hujambo pamoja na wapendwa wako. Molla AshukuriweMpendwa miss you
Ngoja nitafute picha aisee.Jaribu hii ikibuma inabidi ukajiloweke kwenye maji ya bahari badili avatar weka picha ya kushawishiππ
Hebu Jaribu kuweka ninayo ipenda labla tunaweza kuyajengaNgoja nitafute picha aisee.
Sema tutapendana avatar halafu tutakuja kukimbiana mbele ya safari.
Au nitafutie picha utakayoipenda wewe ili nikiweka unikubalie.
πππ mpendwa Hawachi weweTatizo mhenga mwenzangu umezidi upole huoni kina Davet mpole ila sio kwenye mambo hayo ππ
Hadi wagumu wana bae, Bradha ana kwama wapiππππππ mpendwa Hawachi wewe
Hahah!Hadi wagumu wana bae, Bradha ana kwama wapiπππ
Jamaa msiri sana ukute anae humu πππHahah!
Bradha hajaamua tu ila akisema aamue anaweza kukupatia wifi
ππ inawezekana alafu anaishia huko huko 06:00PMJamaa msiri sana ukute anae humu πππ
Unaniumiza ukisema hivyoππJamaa msiri sana ukute anae humu πππ
Hadi wagumu wana bae, Bradha ana kwama wapiπππ