mzee wa liver
JF-Expert Member
- Dec 14, 2014
- 83,467
- 431,962
Nipo wangu zaidi ya rafiki zaidi ya nduguKichwa Kichafu uko wapi
Nipo wangu zaidi ya rafiki zaidi ya nduguKichwa Kichafu uko wapi
Pole na majukum mzeeSo busy here in A town
Eti marehemu dede...Nimeisikia sauti yako ya kubembeleza kuliko ya marehemu Dede,"ule na unywe maji sawa eee"[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Chaaaaa !!!! Haki ya mungu sammyluv unahitaji uwe na moyo wa makinikia kuishi na kichwa.carba tena????Nimerudi mama!
Maana nilipotoka hofu yangu kwako carbamazepine
Nipo hapa mzee wa liver...pole na baridi ya arusha...sisi tupo hapa kama kawaidaMy princess carbamazepine
hapana wimbo wa ja rule na j lo unaitwa i'm real
Wowwww....!! Jakito... I am speechless ...!! Kumbe ni mtunzi pia....?? Iz it yur'z ...??
Tena alikuwa anatoa pesa kwenye wallet kwa fujo,Nimeona mama,niambie sammyluv,leo umekuwa mpweke sana.Kichwa kakabwa na limama kule hadi anatia huruma[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Hajui kama nauguza mgonjwa jamani?[emoji23] [emoji23] [emoji23]Eti marehemu dede...