Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Inawezekana ukawa una paka makeup kwa urembo, inawezekana wewe ni mpakaji makeup (make up artist) ambae ulivutiwa tu kwa kuona wengine wanafanya lakini ukiulizwa nini maana ya makeup na ina faida gani huwezi kujibu well tupo wengi, sana sana jibu letu litakuwa kumfanya mtu azidi kuonekana mrembo ambalo ni kweli lakini kuna faida nyingine nyingi zinazo tokana na makeup.
 
Je make up zina faida gani ukiachana na kuremba uso

Kupunguza miwasho ya ngozi – makeup hutengenezwa na kemikali mbalimbali lakini ndani yake zipo ambazo zinaweza kusaidia kutunza ngozi yako, kama kuipa unyevu na kusaidia ngozi isikauke na kukuwasha.
 
Kupunguza mikunjo ya sura – hii inawezekana kila mtu anaijua kama ni mpenzi wa urembo unaweza ukawa umesha ona hata kwenye mitandao jinsi ambavyo make up artist wanawapaka make up wazee ambao baada ya kupakwa huonekana kama vijana, lakini ukiachana na hilo pia kemikali zitumikazo nyingine zinasaidia kufanya ngozi kuwa laini na kupunguza mikunjo.
 
Inazuia Break outs (kuharibika kwa uso) – kuna makeup ambazo ndani yake zinakemikali ambazo husaidia kuondoa chunusi unacho takiwa kufanya ni kusoma maelezo ya aina ya make up unayo nunua ina vitu gani ndani yake, unapo kosea kununua makeup ambayo haiendani na ngozi yako zinaweza kuleta matokeo hasi pia.
 
Leo tutaongelea zaidi kwenye ngozi!

Je Shea Butter inafaa kwa ngozi ya aina gani?
Siagi ya shea hutokana na tunda linalotoka kwenye mti wa sheya. Lakini tofauti na bidhaa nyingi za mafuta sheya butter ina kiwango cha chini sana cha proteni zinazoweza kusababisha allergy
 
Faida za Shea Butter katika ngozi
Yanatumika usoni na mwilini

Yanatibu magonjwa ya ngozi kama
eczema
mapele,
chunusi,
harahara kwenye ngozi (acne)
kuwashwa kwa ngozi,
ngozi kusinyaa,
uzee wa ngozi,
ngozi kufubaa,
ngozi kudumaa (wrinkles n aging)
Yanalainisha ngozi,
inafanya ngozi kuwa nyororo,
inaipa ngozi uangavu wa asili (natural glow)
 
Inawezekana ukawa una paka makeup kwa urembo, inawezekana wewe ni mpakaji makeup (make up artist) ambae ulivutiwa tu kwa kuona wengine wanafanya lakini ukiulizwa nini maana ya makeup na ina faida gani huwezi kujibu well tupo wengi, sana sana jibu letu litakuwa kumfanya mtu azidi kuonekana mrembo ambalo ni kweli lakini kuna faida nyingine nyingi zinazo tokana na makeup.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…