Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Nataka kujaribu kuweka shea batter kwenye nywele zangu.Marudio
Yapo mafuta ya shea butter yana harufu nzuri. Kwenye nywele jaribu kuzijali kwa steaming ya movit au yoyote utakayoipenda harufu yake. Kwa mwezi weka mara moja au mbili.Nataka kujaribu kuweka shea batter kwenye nywele zangu.
Shukrani best nitajaribu.Yapo mafuta ya shea butter yana harufu nzuri. Kwenye nywele jaribu kuzijali kwa steaming ya movit au yoyote utakayoipenda harufu yake. Kwa mwezi weka mara moja au mbili.
Steaming inasaidia sana ukuaji wa nywele,ugumu wa nywele na kuiacha nywele ina mafuta.