Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Aisee
 
Mpaka Tutakapoonana Tena

[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
Kumbukumbu nzuri hizi juuyo
Hunifanya nitabasamu daima
Natamani kukupata tena
Hata kama ni kwa muda kitambo tu

Tungekaa chini na kuongea tena
Kama tulivyozoea kufanya hapo zamani
Tambua wewe ni wa thamani sana kwangu
Na daima utabakia hivyo

Japo kutokuwepo kwako hapa
Kutanisababishia maumivu daima
Milele utakuwa mtimani mwangu
Mpaka tutakapoonana tena
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7][emoji7]
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…