Numbisa
JF-Expert Member
- Dec 12, 2016
- 348,970
- 1,252,247
Kombolela [emoji16][emoji16]
Ongeza bahasha ya tano - Zaka na sadaka [emoji1545][emoji1545][emoji1545]Andaa bahasha nne (1. Kuwekeza, 2. Matumizi ya lazima, 3. Akiba 4. (Jambo lingine muhimu linalohitaji pesa)
Gawa kila unachokipata na kukiweka kwenye bahasha hizo nne. Kumbuka bahasha zote zinatakiwa kupata mgao; bahasha ya nne inaweza kuwa chochote kulingana na matumizi yako, Mf. Ada za Shule, Malipo ya Bima, n.k.