Uzi maalum wa kupeana Likes: Comment chochote upate "Like"

Ilikuwa ni ule msemo wa "adui yako muombee njaa:
Ataomba sana mwaka huu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Yeye na SYB wataomba Sana,masihi atarudi atawakuta wanatuombea njaa na njaa haitupati [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
SYB sema this is livapuu [emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91]
 
Lakini SI tumeshinda[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787].
Sikuwa na haja ya kuangalia Maana matokeo nilishayajua tangu wiki iliyopita[emoji23][emoji23][emoji23]
Huku mwakaleli ni shangwe na vifijoo
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
Moto unawaka Moto unawaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji443][emoji444]
Crystal palace wanainama wanainuka wanaona Moto unawaka
[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Hee wanainuka na kuinama wanaona moto unawaka[emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]

This is Liverpool [emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji123][emoji123][emoji123]
 
Hivi wapinzani mna Nini lakini?
Kama tunajua tunajua tu,kwa hiyo sisi mechi zote tunabahatisha???
Tungeshinda Kila siku??
SYB piga makofi tafwadhali [emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]aiseee
 
Manchester United, Arsenal na vilabu vingine vikuu vya ulaya huenda vikapigwa na butwaa kwasababu RB Leipzig itakuwa nafasi ya kumsaini mshambuliaji wa Red Bull Salzburg wa miaka 19 Erling Braut Haaland kwa £25.7m pekee. (Sport Bild, via Sun)
 
Hehehehe
Tunacheka kilivapuu[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Shimba[emoji2772][emoji2772]
Kuna siku tu mtakutana na mbabe wenu kama huyu bondia tolli ambaye alikuwa amezoea kubonda wenzie mpaka siku alipokutana na huyu mama mweusi. Siku hiyo usipojitokeza hapa mwenyewe nitakuja kukusaka Mbeya mtaa kwa mtaa mpaka nikupate dadeki. Na nitakachokufanyia hutakaa unisahau [emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36][emoji24][emoji24][emoji24]

 
Manchester United inasalia kuwa klabu inayomvutia Gareth Bale ikiwa ataamua kurejea katika ligi ya primia huku hatima ya nyota huyo wa kimataifa wa Wales wa miaka 30- katika klabu ya Real Madrid ikiwa haijulikani. (Talksport)
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…