Mad Max
JF-Expert Member
- Oct 21, 2010
- 35,566
- 104,386
Kidogo kidogo tutazoea tuView attachment 1271721
Fanyeni yote ila usilale na njaa. Make sure unakua ata na mkate wa backup ghetto.
Muda huu njaa imenizuia kulala naenda barabarani kutafuta maandazi.
Bunju ni shwari View attachment 1271724
Fanyeni yote ila usilale na njaa. Make sure unakua ata na mkate wa backup ghetto.
Muda huu njaa imenizuia kulala naenda barabarani kutafuta maandazi.
Wapi hapa
Emerald gemstone View attachment 1271708
Angalia usije kukabwa bro[emoji23][emoji23]
Bunju Wilayani Kinondoni Dsm
Kwa hiyo umemuweka ili nisishabikie yanga?[emoji14][emoji14]Aliweka mwenyewe, mambo yake ya ulimbwende hanaga siri nayo na michezo anayofanyiwa naipenda mwenyewe[emoji2089][emoji2089][emoji2089][emoji2089]
Hawa Ni wadudu gani [emoji1787][emoji1787]Mko wapi wabishi wawiliView attachment 1271715
Kinyang'anyiro kikiisha utanipa matokeoWachezaji wawili Madie Kagere na Emanuel Okwi wameteuliwa na CAF kuingia kwenye kinyang'anyiro cha mchezaji bora wa Afrika kwa wachezaji wa ndani.
Wachezaji hao wamepata fursa hiyo baada ya mafanikio yao na timu yao ya Simba kwenye Ligi ya Mabingwa Barani Afrika msimu uliopita.
Wapi Saint anneView attachment 1271697
yea uh good one...he did win...but he didn't do enough to take the title..Wilder is legit. Not like the other pretender named Anthony Joshua. Capitalpool unasemaje? Tulishawahi kubishana kuhusu hili [emoji16]
View attachment 1270936
Kwa hiyo umemuweka ili nisishabikie yanga?[emoji14][emoji14]
Kinyang'anyiro kikiisha utanipa matokeo