The Happiness
JF-Expert Member
- Aug 21, 2018
- 6,990
- 45,415
Mtandao gani huu.?View attachment 1272446
tupo vizurii bora pesa yangu niiweke kwenye kibubu haijalishi kibanda chetu kimejaa panya
wanasema ni tigoMtandao gani huu.?
[emoji2960][emoji2960][emoji2960]ugali na konokono
hahahahaaaaaaaaa hii menu nimeipendaaa
Wakongo hawa bila shaka...
Khaaa, mbona wateja tutakimbiawanasema ni tigo
Makato ya kutoa pesa ni makubwa, 14% ya unachotoa sio fair
Yaani kwenye elfu kumi unatakiwa uwe na elfu kumi na moja na mia nne. Hii ni kubwa sana. Wahusika waliangalie kwa kweli maana tena hii tofauti na hata chat zao zinavyoonesha. Hii ni tigopesawww.jamiiforums.com
Saint anne huyu jamaa yako ameanza kishindo cha panya.Wapi wale wabishi walionikimbia[emoji23]View attachment 1272461
TobaaaaaaNeno moja kwaoView attachment 1245672