cocochanel
Platinum Member
- Oct 6, 2007
- 29,011
- 79,226
Zitakua za kisu hiziHiz thanks za Nani
Umeniotea mdogo wangu,namwangusha mzee wa upako hapa na baridi ya Mbeya,anashuka taratiiiibu[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]Mzee kashapata Bapa mpuuze tu ndio alivyo akishalewa...
Hata kulea CYO KaziKuzaa si kazi, kazi kubwa [ni] kulea.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] we Mzee wwKwendraaaa kumbe ulikuwa unaumwa mapenzi[emoji23] [emoji23] [emoji23]
Unampuuza tuAsante mkuu..Kuna MTU analeta pozi...ustaarabu sifuri
Kufunza. Kutunza.
Kuamuru na taa, huanza kwa jamaa.
Kisa kimoja hakimwachi mke.
Kosa moja haliachi mke.
Kitokacho matumboni ki uchungu.
Hizi ni methali au MisemoKisu chako kikikukata unakwisha alani.
[emoji23] [emoji23] [emoji23]Mkuu siwezi sema chochote ili nipate,mimi ni baba ujue!!Jiangalie wewe mzee[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Kweli..Unampuuza tu
[emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa nguvu daaahSometimes haya mambo ya love hayahitaji competition ni destiny inayotuchagua kama cole na ZEpINe shimba ya Jakitoo, andjul nsamaka, kichwa kichafu na upweke.