kisiki kizito
JF-Expert Member
- Jul 3, 2015
- 676
- 860
[emoji23] [emoji23] wanaume hampendaniJamani? Utapona kweli wewe? Mgonjwa hauzingatii muda wa kupumzika?Hebu lala hukooo[emoji23] [emoji23] [emoji8] [emoji8]
Gonga likes twende sawanianze kulike
Shemeji alikuwa Ana complain upatikani hewaniBro huyu ndo shemeji? Kule kwingine ilishindikana? Ndo maana hata paraboz zimepungua. Hongera sana. Na Malaria itapona sasa automatically [emoji23][emoji23][emoji23]
Dah!!! Ujinga waachie wajinga....Moja ya Ujinga wa wana JF.
Gd nightWe ni kila kitu sijapata ona kama wewe...
My addiction baby and me can never let you go....
Boy you make me happy and blest
You're taking me up up up....
Fikra zaenda kasi...
When I'm missing you oh my love... Good night wapendwa
[emoji125] [emoji125] [emoji125]Shemeji alikuwa Ana complain upatikani hewani
CCM mbele kwa nyuma