Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Umepatia mpendwa kama ulivyo andika 4unataka kuniambia ya kwamba ndani ya wiki moja unapika sembe mara 4 au zaidi?
Yes kama hizo nilijua zile ambazo bado mbichi
Kamsahamnida kwa kukubali kuvumiliaSawa ila nitasubiria pia siku utakayofurahi uniwekee na hiyo
mmhhhhh! zile zinachosha kumenyaYes kama hizo nilijua zile ambazo bado mbichi
Kwenye urojo zinachanganywa na viazimmhhhhh! zile zinachosha kumenya
zinachelewa kuiva
ndizi mbichi?Kwenye urojo zinachanganywa na viazi
Yes nahisi kama wanawekandizi mbichi?
dah! sijawahi kuonaYes nahisi kama wanaweka
Mpendwa unapenda urojo huitaji kujua unapikwaje wiki ijayo nipo huko chakechake nitakutumia picha jinsi ninavyoupika.dah! sijawahi kuona
basi itakuwa wanazichemsha
unakwenda kufanya nini?Mpendwa unapenda urojo huitaji kujua unapikwaje wiki ijayo nipo huko chakechake nitakutumia picha jinsi ninavyoupika.
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkorea banaunamtafuta binti mpole mchana wote huu?
ngoja nikanunue urojo wa shilingi 1000 niweke kambi hapa.
hivi leo nichochee upande upi?
Numbisa aaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa
Usijali mpendwaunakwenda kufanya nini?
au ndipo wanapotokea wazee
ukirudi pemba niletee halua na ndizi mbivu.
ooooooohhhhhh! nimesahau kumbe msimu wa maembe umewadia.
niletee maembeeeee
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23] yaani wanaume wa bongo kwa kupenda misambwax hawajambo aisee halafu walivyo hawajui kuchambua uzuri wa mwanamke sasa
haya naanza kuchochea kuniiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]mkorea bana
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787] ila kwa mbosso nakubali aise maana yule naye kama ni pua tu basi kajaaliwa kweli kweli
haya naanza kuchochea kuniiiii
View attachment 1277167
haya naanza kuchochea kuniiiii
View attachment 1277167
Wewe na Karma mmenichekesha comments zenu nyie sio watu wazuri kumbe ππππ[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]coleee