Mwerevu uliyebaki jfMoja ya Ujinga wa wana JF.
Haya..kila la heriIlikua siku njema kuwa nanyi hapa leo...kamuda ka kulala kamewadia leo zamu ya majorani kukesha...naomba niwatakie usiku mwema wote mbarikiwe
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] [emoji23] umenifanya nicheke kwa nguvu daaah
LikesBabiii nimekupenda na ninakupa kamoyooo... Porokocho ndooo... Tuuu
Amezidi sana,ulipo yupo[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23][emoji23] [emoji23] wanaume hampendani
Amina.Lala salama mama japo....Ilikua siku njema kuwa nanyi hapa leo...kamuda ka kulala kamewadia leo zamu ya majorani kukesha...naomba niwatakie usiku mwema wote mbarikiwe
Na wewe ulale salamaaNilikuja kugawa likes mlale unono