Hawachi
JF-Expert Member
- Nov 25, 2018
- 12,010
- 54,204
Safi BradhaHbr ya asbh mpendwa
😁😁😁Wapenzi wa mpira mnafurahisha sanaHaufai wewe, ngoja nisikujibu
Haitaji Gym kupunguza mwili ukiwa mshabiki wa United hasa miaka ya hv karbuni..Wenzako wanateseka nayo na inawatesa kweli kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
cc: capitalpool ningendako Numbisa
#MwanitesaUnited
Waache waendelee kuisoma namba[emoji23]Wenzako wanateseka nayo na inawatesa kweli kweli[emoji3][emoji3][emoji3][emoji3]
cc: capitalpool ningendako Numbisa
#MwanitesaUnited
Mimi nilivyo mwembamba.Haitaji Gym kupunguza mwili ukiwa mshabiki wa United hasa miaka ya hv karbuni..
#Tunatesekakwelikweli
[emoji23][emoji23][emoji23]Haufai wewe, ngoja nisikujibu
Malizia ilikuwajeJe, ulishawahi kudhulumiwa au kutapeliwa? Tushikishane mbinu za Matapeli na namna ya kuziepuka
Wasalaam! Leo nimekumbuka tukio la kudhulumiwa Binafsi lilinitokea 2015, ambapo lilihusu Biashara ya gari na mtoto mmoja wa Waziri wa enzi hizo anayeishi Morogoro, najua wengi mpaka hapa wataweza kujaribu kumjua kijana huyo. Wakazi wa Moro wataelewa mtu huyu, aliyejipambanua na taaluma ya...www.jamiiforums.com
tiri tiri tiriiiiiiii hello da....................
da: hello wewe nani?
mpigaji simu: mjomba wako m................ nipo maeneo ya makunduchi nimekutwa na mtihani kidogo
da: mtihani gani mjomba?
mpigaji simu: nimemgonga mtoto kwa vespa na wenyewe wanataka fidia ya shilingi 200000
sa: basi ngoja niende kwa wakala (pesa nilikuwa nayo)
mbiooooooo mpaka kwa wakala kama kichaaa
alhamdulillah ilikuwa ni siku yangu ya bahati...
kama zari nikampigia simu mama yangu (nilikuwa mbali na nyumbani kwa wiki nzima)
da: mama mjomba yupo unguja?
mama: kwa nini
da: amenipigia simu anasema yupo makunduchi na amemgonga mtoto kwa vespa
mama: mbona hajaniambia kama yupo unguja na huko makunduchi amekwenda kufanya nini?
alijuaje kama naitwa .......................
alijuaje jina la mjomba wangu....
alijuaje namba yangu
jesusiiiiiiiii
niliokoka na utapeli...Malizia ilikuwaje
Wale wanakuwaga na dawa.Mimi niliwahi kutapeliwa kijinga sana.niliokoka na utapeli...
nilighairi kutuma pesa
Hivi kweli mjomba wako unaweza usimjue sauti?Je, ulishawahi kudhulumiwa au kutapeliwa? Tushikishane mbinu za Matapeli na namna ya kuziepuka
Wasalaam! Leo nimekumbuka tukio la kudhulumiwa Binafsi lilinitokea 2015, ambapo lilihusu Biashara ya gari na mtoto mmoja wa Waziri wa enzi hizo anayeishi Morogoro, najua wengi mpaka hapa wataweza kujaribu kumjua kijana huyo. Wakazi wa Moro wataelewa mtu huyu, aliyejipambanua na taaluma ya...www.jamiiforums.com
tiri tiri tiriiiiiiii hello da....................
da: hello wewe nani?
mpigaji simu: mjomba wako m................ nipo maeneo ya makunduchi nimekutwa na mtihani kidogo
da: mtihani gani mjomba?
mpigaji simu: nimemgonga mtoto kwa vespa na wenyewe wanataka fidia ya shilingi 200000
sa: basi ngoja niende kwa wakala (pesa nilikuwa nayo)
mbiooooooo mpaka kwa wakala kama kichaaa
alhamdulillah ilikuwa ni siku yangu ya bahati...
kama zari nikampigia simu mama yangu (nilikuwa mbali na nyumbani kwa wiki nzima)
da: mama mjomba yupo unguja?
mama: kwa nini
da: amenipigia simu anasema yupo makunduchi na amemgonga mtoto kwa vespa
mama: mbona hajaniambia kama yupo unguja na huko makunduchi amekwenda kufanya nini?
alijuaje kama naitwa .......................
alijuaje jina la mjomba wangu....
alijuaje namba yangu
jesusiiiiiiiii
kwa mazingira ya kwangu inawezekanaHivi kweli mjomba wako unaweza usimjue sauti?
Jamani huyu ni mbu wa aina gani.. nimemuona alitaka kunimgata..
Nilijua mbu wote ni weusiView attachment 1281376View attachment 1281377
anaitwa amrish kapoorJamani huyu ni mbu wa aina gani.. nimemuona alitaka kunimgata..
Nilijua mbu wote ni weusiView attachment 1281376View attachment 1281377
atakuwa nyukiInzi huyo
Kuna nzi Wakubwa wakijani hao wanauma kidogoatakuwa nyuki
Acha hivo basiInzi huyo