moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Daemusin njoo sembe limeiva ng'wanawane. Ukitoka hapa hutaonja urojo tena maishani mwako [emoji16][emoji16][emoji16]
View attachment 1281686
Kumbe siasa zina tick tack na takataka nyingi
[emoji7][emoji7][emoji7][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91][emoji91]
Yapo kule kwetu kyela.Msimu ndiyo kwanza umeanza.
Mtuache tufaidiView attachment 1281638
Hawa andaeitini i better tell em [emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Tell'em sis
Joseph Stalin...wababe wa dunia hawa. Nao ardhi imewameza...
Nataka niweke Avatar hiyo picha [emoji91][emoji91][emoji91][emoji23][emoji23]
Bro tena? Hata wewe shemeji kipenzi?Utambulisho usukumani[emoji23][emoji23][emoji23]
Shikamoo bro
[emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji706][emoji36][emoji36][emoji36][emoji36]Hii comment sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
ningendako naomba ushuhuda pliiizii[emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1281716
Mcheke Msukuma akishindwa kupika ugali vinginevyo ni yale yale ya kumcheka samaki kwa kushindwa kupanda mti. Ushanitibua tayari shemeji...Hii comment sasa[emoji23][emoji23][emoji23]
ningendako naomba ushuhuda pliiizii[emoji125][emoji125][emoji125]
View attachment 1281716
Mnatengeneza kwa kutumia hiki kibuyu ipi yawe mtindi.View attachment 1281740
Cha kutingishia maziwa hicho wenyewe wanita NKII
[emoji23][emoji23][emoji23] sasa amekutibua yeye ndio alikomenti?Mcheke Msukuma akishindwa kupika ugali vinginevyo ni yale yale ya kumcheka samaki kwa kushindwa kupanda mti. Ushanitibua tayari shemeji...