moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Iko mwezi wa ngapi mpendwa? Naisikiaga sikiaga tu.Kwa lezima hufungi.
Pole zaoJengo la ghorofa sita laanguka jijini Nairobi, watu kadhaa wahofiwa kunaswa ndani ya vifusi. ITVView attachment 1283545
Mimi muislam naijua Je wew upo upande huo usijue mpendwa 😄Iko mwezi wa ngapi mpendwa? Naisikiaga sikiaga tu.
Msinifatilie 😅😅😅😅😅😅
😂😂😂😂😂😂[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
View attachment 1283517
Na upole wako huo mpendwa kweli utatoa jibu la aina hii? [emoji16]Naenda ukubwani natoka utotoni
Natoa kinachofuta baada ya jibu ni mbio.Na upole wako huo mpendwa kweli utatoa jibu la aina hii? [emoji16]
Mambo ya MM hayoUjasi ni nini?
Ng'ong'ona je?
Onyesha tabasamu hata kama moyo wako unavuja damu.
Huku pia tumegawanyika mpendwa. Kwaresima nadhani ni ya Waroma zaidi. Kwa wengine nadhani haina uzito sana.Mimi muislam naijua Je wew upo upande huo usijue mpendwa [emoji1]
Huku Poa kabisa....nikukute geti dogoI believe it is self explanatory...
Ijumaa ikoje huko Chuga? Leo tukutane geti la wapi?
"Ni bora upate Ballon d'Or 2 kwenye vilabu viwili tofauti kama CR7, kuliko Ballon d'Or 6 kwenye timu ilele, halafu uje ujidai eti wewe ni mchezaji bora kuliko Mario Baloteli"---
Mario Baloteli, BBCView attachment 1283546
Mama ni mama japokuwa likwama
Kumbe mimi najua kwa wote.Huku pia tumegawanyika mpendwa. Kwaresima nadhani ni ya Waroma zaidi. Kwa wengine nadhani haina uzito sana.
Na Mkokaa awepo. Na Mpare...Huku Poa kabisa....nikukute geti dogo