carbamazepine
JF-Expert Member
- Dec 30, 2015
- 46,577
- 285,648
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
#huuuzisihami
#leonipokamasipovile[emoji23][emoji23]
hahahahahahaha,
Hata mimi nipo kama vile kuna tukio limenipita ila sijui ni tukio gani[emoji3][emoji3][emoji3]
Na mimi msinisahau jamaniHahaha aisee tukio limetokea fast hatari,kufumba na kufumbua hakuna kila kitu..cheki na TH anaweza kukuchorea kilichotokea[emoji16][emoji16]
Kuna pass niliiona ila haikua na sura, sasa hiyo yenye sura ndio ilibidi niione.
The Happiness naomba unifanyie mpango wa kamchoro basi[emoji3][emoji3]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Na mimi msinisahau jamani
#kwanikunahabarigani[emoji23][emoji23][emoji23]
Fanya fanya basi nichorewe ile ya sura.Jamani msinisahau kwenye ufalme wenu[emoji23][emoji23][emoji23]
Nilisahau kwamba mabeberu ni wasaliti[emoji23][emoji23][emoji23]Kumbe ni muoga[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
Sijawahi achwa na mwendokasi mimi[emoji23][emoji23][emoji23]Fanya fanya basi nichorewe ile ya sura.
Umepanda mwendokasi wa TH??[emoji3][emoji3][emoji3]
Kwani zimetokea ngapi bro?kumbe kuna ingine imetokea haikuwa na sura[emoji134][emoji134]Kuna pass niliiona ila haikua na sura, sasa hiyo yenye sura ndio ilibidi niione.
The Happiness naomba unifanyie mpango wa kamchoro basi[emoji3][emoji3]
@PrimeMinister niko na konyagi yako[emoji23][emoji23][emoji23][emoji111][emoji111][emoji111]PrimeMinister kafanikiwa[emoji23][emoji23][emoji23]
Ni kuwaotea tu[emoji4][emoji4]Nilisahau kwamba mabeberu ni wasaliti[emoji23][emoji23][emoji23]
Mimi nimefanyaje tena??[emoji849][emoji849]Hata sijui namwomba nani ruhusa, ni carbamazepine ?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani zimetokea ngapi bro?kumbe kuna ingine imetokea haikuwa na sura[emoji134][emoji134]
Muda wote huu kumbe bado napitwa na vingine tena[emoji16][emoji16][emoji16]
Hahaha umemsahau na ankoo[emoji23][emoji23][emoji23]
Hata bro
Woooiiiii[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Eeeh huyoo huyoo
Kuna tukio limenipita, sasa wewe ndio mtoa ruhusa niwekewe hapaπππππββοΈπββοΈπββοΈMimi nimefanyaje tena??[emoji849][emoji849]
Unbeatean mwisho leo
Basi umepitishwa kituo broππππKwani zimetokea ngapi bro?kumbe kuna ingine imetokea haikuwa na sura[emoji134][emoji134]
Muda wote huu kumbe bado napitwa na vingine tena[emoji16][emoji16][emoji16]
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Kwani zimetokea ngapi bro?kumbe kuna ingine imetokea haikuwa na sura[emoji134][emoji134]
Muda wote huu kumbe bado napitwa na vingine tena[emoji16][emoji16][emoji16]