moudgulf
JF-Expert Member
- Jan 23, 2017
- 159,165
- 777,891
Tunacheza na Nani?
Kwanini umeenda mwenyewe ukaniacha[emoji3526]
Mimi nakujuaje huko Sasa..Uje utanikuta
Natamani niende kuangalia ila Sina kampaniAFC Bournemouth.
Saa 12 kwa saa za Tanzania
Twende nikusindikizeNatamani niende kuangalia ila Sina kampani
Natamani niende kuangalia ila Sina kampani
DodomaUpo mkoa gani?
Afadhali [emoji3526][emoji3526][emoji3526]Twende nikusindikize
Tatizo sipo dom Mimi, Ila ningekupa kampani.Afadhali [emoji3526][emoji3526][emoji3526]
Sina kampani kabisa yaani
Babe mzima wewe?Nicer
Ooh sawaTatizo sipo dom Mimi, Ila ningekupa kampani.
Dodoma
Mkoa gani?Ungekuwa mkoa furani ningekuelekeza mahali ambapo tungeshangilia liva yetu tukiwa pamoja